Friday, January 23, 2015

SOMO LA "Communication Skills" LAZUA MTAFARUKU


Ikiwa imebakia takribani wiki moja kabla ya kuanza kwa mitihani ya mwisho wa muhula, somo la "communication skills" limeleta sura mpya kwa wanafunzi wa mwaka  wa kwanza wa shahada wa idara ya kompyuta...

UJENZI WA ZAHANATI YA WANAFUNZI WAZIDI KUIMARIKA



Moja kati ya mambo makubwa ambayo Chuo Kikuu Cha Taifa Cha Zanzibar yameyafanya mwaka huu ni pamoja na ujenzi wa zahanati ya wanafunzi.
Kiukweli suala hili limeiweka SUZA katika muonekano tofauti zaidi...

Wednesday, January 21, 2015

WANAFUNZI SUZA WALIA NA HOSTELI

Licha ya jina kubwa lililojijengea, Chuo Kikuu Cha Taifa Cha Zanzibar kina tatizo la sehemu za kuishi wanafunzi (hosteli) ambapo chuo kama chuo hakijafanikiwa kujenga hosteli za wanafunzi...

WAZIRI WA MIKOPO: "Kuchelewa kwa pesa ni kosa la wanafunzi wenyewe"

Baada ya wanafunzi wapatao mkopo wa elimu ya juu kutoka katika bodi ya mikopo ya Tanzania kulalamika juu ya kuchelewa kwa pesa zao, waziri afunguka...

PICHA: MAHAFALI YA KUMI YAFANA SUZA


Chuo Kikuu Cha Taifa Cha Zanzibar hivi karibuni kimefanya mahafali ya kumi tangu kuanzishwa kwa chuo hicho...

UCHAFU WA MAZINGIRA WAWATESA WANAFUNZI WA KAMPASI YA NKRUMAH


Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Taifa Cha Zanzibar kampasi ya Nkrumah walalamika juu ya mazingira mabovu ya kampasi yao.
Mmoja wa wanafunzi amesikika akisema mazingira yao ni machafu sana yanayotokana na kutosafishwa kwa maeneo pamoja na kutopunguzwa kwa vichaka vilivyo jaa kila sehemu ya kampasi hiyo...

Sunday, January 18, 2015

PICHA: MABINGWA WA MPIRA WA MIGUU SUZA 2013/2014


katika kila muhula wa pili wa masomo, chuo kikuu cha taifa cha zanzibar (SUZA) kupitia wizara ya michezo huandaa mashindano mbali mbali ukiwemo mpira wa miguu mpira wa pete, mpira wa kikapu, riadha pamoja na michezo mingine...

Saturday, January 17, 2015

KAMPASI YA NKRUMAH YAIBUKA KIDEDEA UCHAGUZI WA "SUZASO"


Kampasi ya Nkrumah yageuka kidedea uchaguzi wa suzaso, hii ni baada ya kuishinda kampasi ya Tunguu katika uchaguzi wa serikali ya wanafunzi mwaka 2015...

MITIHANI YA MWISHO YANUKIA "SUZA"


siku si nyingi wanafunzi wa kozi zote wa SUZA wanatarajia kuanza mitihani yao ya mwisho ya kumaliza muhula wa kwanza wa masomo...