Chuo Kikuu Cha Taifa Cha Zanzibar hivi karibuni kimefanya mahafali ya kumi tangu kuanzishwa kwa chuo hicho...
Angalia picha za matukio.
![]() |
Mheshimiwa Dkt. Ali Mohameid Shein akitoa zawadi kwa mwanafunzi bora Najad zahor Said |
![]() |
Makamu mkuu wa chuo Prof. Idriss Ahmad Rai akisoma risala ya chuo |
![]() |
baadhi ya wahitimu wa shahada |
![]() |
huyu ndiye mwanafunzi bora Najad Zahor Said |
![]() |
baadhi ya walimu wa SUZA akiwemo bi Mwanajuma pamoja na mwal. Said Yunus |
![]() |
baadhi ya wahitimu wa stashahada ya sayansi ya kompyuta, Mayasa Mrisho pamoja na Said Salim |
![]() |
Mhitimu wa stashada ya kazi za jamii, Akiki Shabani Luziga akiwa mwenye furaha sana |
![]() |
baadhi ya wahitimu wa stashahada ya kazi za jamii |
![]() |
baadhi ya wahitimu wa stashahada ya sayansi ya kompyuta |
No comments:
Post a Comment