Sunday, January 18, 2015

PICHA: MABINGWA WA MPIRA WA MIGUU SUZA 2013/2014


katika kila muhula wa pili wa masomo, chuo kikuu cha taifa cha zanzibar (SUZA) kupitia wizara ya michezo huandaa mashindano mbali mbali ukiwemo mpira wa miguu mpira wa pete, mpira wa kikapu, riadha pamoja na michezo mingine...



michuano iliyopita timu pekee iliyoibuka kidedea katika michuano hiyo ni muungano wa mdarasa ya IT na Sayansi ya kompyuta ambao walipokea takribani kitita cha shilingi laki tatu za kitanzania.

Angalia baadhi ya picha za siku ya fainali hiyo:



moja kati ya wachezaji machachari sana wakipeana mikono kabla ya mechi.. kushoto ni kiungo "Salum Luja" na kulia ni mshabuliaji "Isihaka Pandu"


timu zikikaguliwa kabla ya mchuano kuanza


hiki ndo kikosi kilichoibuka na ubingwa wa mashindano


hawa ndio washindi wa pili







mchezaji Hassan akishangila gori na mmoja wa mshabiki





hii ndio kamati ya ufundi ikiongozwa na Mussa Faki Iddi





mmoja ya wachezaji akiwa hoi baada ya mechi


No comments:

Post a Comment