SUZA campuses

Chuo Kikuu Cha Taifa Cha Zanzibar kimefanikiwa kuwa na kampasi tatu tatu, ambazo kila moja inatoa masomo ya kozi mbali mabali

1. KAMPASI YA TUNGUU

Hii ipo nje ya mji kidogo, kampasi hii hutoa mafunzo ya kozi za sayansi kuanzia ngazi ya stashahada hadi shahada ya uzamili.






2. KAMPASI YA NKRUMAH
kampasi hii inapatikana pia nje kidogo ya mji, ambayo hutoa mafunzo ya kozi za ualimu tu wa masomo ya sanaa kuanzia ngazi ya cheti mpaka shahada ya uzamili.




3. KAMPASI YA VUGA.
Hii ni kampasi iliyopo katikati ya mji, kampasi hii hutoa mafunzo ya kompyuta kuanzia ngazi ya cheti, kozi fupi, lugha za kigeni pamoja na elimu ya kujiendeleza.




KARIBUNI SANA SUZA !!!!!!

No comments:

Post a Comment