Wednesday, January 21, 2015

WAZIRI WA MIKOPO: "Kuchelewa kwa pesa ni kosa la wanafunzi wenyewe"

Baada ya wanafunzi wapatao mkopo wa elimu ya juu kutoka katika bodi ya mikopo ya Tanzania kulalamika juu ya kuchelewa kwa pesa zao, waziri afunguka...
waziri huyo amesema kuwa mara nyingi yatokapo matangazo juu ya wanafunzi kwenda kusaini kwaajili ya kupatiwa pesa zao, wanafunzi huwa wazito kwenda kusaini kwani kila mtu huenda kwa mda wake na kwa siku wazipendazo hivyo huwapa wakati mgumu sana katika kulikamilisha suala hilo. Hivyo ametoa wito kwa wanafunzi kuwa mara tu matangazo kuhusu mikopo yakitolewa basi wajitahidi wakasaini haraka iwezekanavyo kwani kuwahi kwao ndio kupatiwa pesa zao kwa haraka.

No comments:

Post a Comment