Saturday, January 17, 2015

KAMPASI YA NKRUMAH YAIBUKA KIDEDEA UCHAGUZI WA "SUZASO"


Kampasi ya Nkrumah yageuka kidedea uchaguzi wa suzaso, hii ni baada ya kuishinda kampasi ya Tunguu katika uchaguzi wa serikali ya wanafunzi mwaka 2015...

uchaguzi huo ulijumuisha wagombea uraisi kutoka kampasi  mbili, kampasi ya Nkrumah pamoja na kampasi ya Tunguu. Lakini Nkrumah ndo ilifanikiwa kuibuka kidedea mara tu baada ya mgombea wao kushinda uchaguzi kwa kishindo.

No comments:

Post a Comment